Weee........!!!Ukisoma unakuwa hygienist kwa.maana ya kuangalia uhusiano wa mazingira na afya ya mtu, or else unaweza kudeal na issues za mazingira. Kazi ni nyingi mno na soko la ajira na kujiajiri lipo wazi kabisa. Kila la kheri, ni uamuzi mzuri. Usipokuwa mvivu wa kufikiri, unikumbuke katika ufalme wako tafadhali.