Msaada: Badala ya kujisajili kama local Undergraduate Applicant, kajisajili kama post graduate applicant

Msaada: Badala ya kujisajili kama local Undergraduate Applicant, kajisajili kama post graduate applicant

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,438
Reaction score
1,496
Naomba msaidie dogo wangu afanyaje mana alikuwa hajui kama kajisajili postgraduate degree badala ya local undergraduate loan application.

Hivyo form inamsumbua hatari na ukiwapigia watu loan board hawapokei masimu!
 
Mbona internet cafe wapo watu special kusaidia hizo ishu za IT shida nini Tanzania
 
IMG_5402.png

hapo Mwanzoni kabisa nahisi abonyeze hicho kitufe cha reverse my application
 
Kipengele kipo mwanzo kabisa. Hawezi reverse, ni sawa na mwombaji aliyekosea namba ya mtihani.

Katika jambo ambalo Loanboard wako hovyo sana ni help desk. Hawasaidii lolote.
ni kweli mwamba!
 
Hapo solution uwezi ipata stationary yeyote Tanzania hapo akuna namna kama upo dar fika ofisini au fika ofisi yoyote ya Kanda uliyo karibu wewe wao watawasiliana na makao makuu itairekebisha chap kwa simu autofanikiwa
 
Naomba msaidie dogo wangu afanyaje mana alikuwa hajui kama kajisajili postgraduate degree badala ya local undergraduate loan application.

Hivyo form inamsumbua hatari na ukiwapigia watu loan board hawapokei masimu!
Hii hadi uende makao makuu. Kama upo dar nenda makao makuu, Temeke, Veterinary. Kama upo mkoani ninaweza kukusaidia ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom