Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Kipengele kipo mwanzo kabisa. Hawezi reverse, ni sawa na mwombaji aliyekosea namba ya mtihani.Mwambie ali reverse application
ni kweli mwamba!Kipengele kipo mwanzo kabisa. Hawezi reverse, ni sawa na mwombaji aliyekosea namba ya mtihani.
Katika jambo ambalo Loanboard wako hovyo sana ni help desk. Hawasaidii lolote.
DaaKipengele kipo mwanzo kabisa. Hawezi reverse, ni sawa na mwombaji aliyekosea namba ya mtihani.
Katika jambo ambalo Loanboard wako hovyo sana ni help desk. Hawasaidii lolote.
Hii hadi uende makao makuu. Kama upo dar nenda makao makuu, Temeke, Veterinary. Kama upo mkoani ninaweza kukusaidia ndugu yangu.Naomba msaidie dogo wangu afanyaje mana alikuwa hajui kama kajisajili postgraduate degree badala ya local undergraduate loan application.
Hivyo form inamsumbua hatari na ukiwapigia watu loan board hawapokei masimu!
Daah mi nimekwama hapa kwenye Basic info yani haitaki kwenda mbele.View attachment 2740221
hapo Mwanzoni kabisa nahisi abonyeze hicho kitufe cha reverse my application