WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,433
- 1,442
Jamani,baada ya kujifungua kwa njia ya kawaida,kumekua na mkanganyiko wa kutoka damu (bleeding) irregulary.Nilienda hospital nikapewa dawa ya kutumia,damu ilikata halafu baada ya muda ikaja bleed ya kawaida.Tatizo limekuja baada ya kumaliza wiki mbili bleed imerudi tena ikiwa inatoka kidogo kidogo sasa ni siku ya sita.
Nimeamua kurudi tena hospital lakini nahofia km kunakuwa unauwezekano wa kusafisha kizazi,je wanatumia machuma km zamani?
Naogopa,inaumwa sana maana wanaweka bila hata kupewa dawa ya usingizi.
Madaktari mnisaidie jamani
NB: Nimetumia ID ya mwenza wangu