Nitafute mimi nikupe dawa damu ipate kusimama.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi MkavuJamani,baada ya kujifungua kwa njia ya kawaida,kumekua na mkanganyiko wa kutoka damu (bleeding) irregulary.Nilienda hospital nikapewa dawa ya kutumia,damu ilikata halafu baada ya muda ikaja bleed ya kawaida.Tatizo limekuja baada ya kumaliza wiki mbili bleed imerudi tena ikiwa inatoka kidogo kidogo sasa ni siku ya sita.
Nimeamua kurudi tena hospital lakini nahofia km kunakuwa unauwezekano wa kusafisha kizazi,je wanatumia machuma km zamani?
Naogopa,inaumwa sana maana wanaweka bila hata kupewa dawa ya usingizi.
Madaktari mnisaidie jamani
NB: Nimetumia ID ya mwenza wangu
Nashukru sana bwana Mzizi Mkavu,niatakutafuta nikijua source ya tatizo na possible ya tiba kupitia vipimo kwanza.Siwezi nikaanza kunywa dawa tu halafu sijui kwa nini dam inatoka,je,ni kondo halikutoka lote? Hormonal imbalance? Infections or else.Nikijua hivi nitakutafuta tabibuNitafute mimi nikupe dawa damu ipate kusimama.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
Utafanya vizuri ukipma kwanza kutaka kujuwa ni nini chanzo cha kutoka damu? Kwa sisi Waisla mwanamke akijifunguwa huwa anatokw ana damu ya nifasi kwa siku 40 ndio anakuwa msafi anaweza kuoga hapo sijuwi wewe dini gani?Nashukru sana bwana Mzizi Mkavu,niatakutafuta nikijua source ya tatizo na possible ya tiba kupitia vipimo kwanza.Siwezi nikaanza kunywa dawa tu halafu sijui kwa nini dam inatoka,je,ni kondo halikutoka lote? Hormonal imbalance? Infections or else.Nikijua hivi nitakutafuta tabibu
Boss vipii. ..Utafanya vizuri ukipma kwanza kutaka kujuwa ni nini chanzo cha kutoka damu? Kwa sisi Waisla mwanamke akijifunguwa huwa anatokw ana damu ya nifasi kwa siku 40 ndio anakuwa msafi anaweza kuoga hapo sijuwi wewe dini gani?