Acha Maneno
Member
- Oct 6, 2018
- 36
- 46
Bajaji mpya ya Tvs inayotumia gesi na mafuta inacost bei gani?
Asante.
Asante.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hujatumia uungwana katika hili......Afutatu
Milion 8....! Nenda Watu africa wanakopesha ukiwa na robo....Bajaji mpya ya Tvs inayotumia gesi na mafuta inacost bei gani?
Asante.
Ndio vijana tulionao kwenye taifa letu hili.Mkuu hujatumia uungwana katika hili......
Iko wapi hiiMilion 8....! Nenda Watu africa wanakopesha ukiwa na robo....
Asante kaka, nitafanya hivyo.Milion 8....! Nenda Watu africa wanakopesha ukiwa na robo....
Andika watu africa utapata website na contact wqpigie mtaelewanaIko wapi hii
Uko wapi wewe ?Asante kaka, nitafanya hivyo.
Kuna mahali nimesikia zinauzwa Million 10 nikaogopa sana.
Asante na ubarikiwe sana.
Milion 8....! Nenda Watu africa wanakopesha ukiwa na robo....
Nipo Dar kaka.Uko wapi wewe ?
Bei imepanda lini Tena???Afutatu
Kuanzia m9inategemea uko wapi mkuu!Bajaji mpya ya Tvs inayotumia gesi na mafuta inacost bei gani?
Asante.
Una maanisha $3000 (~7,935,000.00 Tsh) sio? Nahisi ni zaidi ya hapo. Ina range 8.5M to 10MAfutatu
Ingia mtandao google watu africa wana branch kibao dar....use ur internet broNipo Dar kaka.
Ndio uwatafute uwapigie acha uvivu.....search them wapigie uliza utajibiwaBaada ya hapo mrejesho ni kiasi gani kwa siku?
Hao ni wale wanao kaaa kwa shemeji, huhitaji sayansi ya rocket kuwajuaMkuu hujatumia uungwana katika hili......