Fundi manyumba JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 3,799 Reaction score 8,063 Jul 2, 2024 #21 Nulisikia tuu juu juu dukani unapata kwa laki 8 ila kwa mtu kama imetumika hata laki tano unapata mkuu
Nulisikia tuu juu juu dukani unapata kwa laki 8 ila kwa mtu kama imetumika hata laki tano unapata mkuu
lugohe Member Joined Mar 12, 2022 Posts 7 Reaction score 14 Jul 2, 2024 #22 Acha Maneno said: Bajaji mpya ya Tvs inayotumia gesi na mafuta inacost bei gani? Asante. Click to expand... bajaji inayotumia gas na mafuta m10.9 inayotumia mafuta pekee m9.9 hii ni bei ya dukani kwa dar
Acha Maneno said: Bajaji mpya ya Tvs inayotumia gesi na mafuta inacost bei gani? Asante. Click to expand... bajaji inayotumia gas na mafuta m10.9 inayotumia mafuta pekee m9.9 hii ni bei ya dukani kwa dar
Mtumishi wa Bwana89 JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,191 Reaction score 4,220 Jul 3, 2024 #23 Lambardi said: Milion 8....! Nenda Watu africa wanakopesha ukiwa na robo.... Click to expand... Asiende huko ataumia Bora ujichange au upate sapoti ya ndugu
Lambardi said: Milion 8....! Nenda Watu africa wanakopesha ukiwa na robo.... Click to expand... Asiende huko ataumia Bora ujichange au upate sapoti ya ndugu
Mtumishi wa Bwana89 JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,191 Reaction score 4,220 Jul 3, 2024 #24 Fundi manyumba said: Nulisikia tuu juu juu dukani unapata kwa laki 8 ila kwa mtu kama imetumika hata laki tano unapata mkuu Click to expand... Acha dharau
Fundi manyumba said: Nulisikia tuu juu juu dukani unapata kwa laki 8 ila kwa mtu kama imetumika hata laki tano unapata mkuu Click to expand... Acha dharau
rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,020 Reaction score 3,309 Jul 3, 2024 #25 Hojoue na T better shs ngap dukan
Fundi manyumba JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 3,799 Reaction score 8,063 Jul 3, 2024 #26 Mtumishi wa Bwana89 said: Acha dharau Click to expand... Sawa