Msaada: Bata hawawezi kusimama wanatambaa, wana miezi 2

Msaada: Bata hawawezi kusimama wanatambaa, wana miezi 2

Unawalea vip hao Bata.............kisasa au kienyeji?
Nina banda zuri ambalo nimefugia bata for a long time. sasa hili sijawahi liona kwenye bata miaka yote niliyofuga bata. Nawafungia
 
Tang Day 1 ulikuwa unawapa chakula gan
walianza na stater, then baada ya wiki 6 nikawapa mchanganyiko wa grower na mahindi membamba/punje ndogo, majani, lukina, mashudu ya alizeti ...mchanganyiko kama huo
 
Utakua umewafungia kwenye chumba au uzio na unawalisha chakula cha aina moja hivyo wamekosa madini.
Unapaswa kuchanganya madini kwenye chakula chao
 
Back
Top Bottom