Hemedy rashidy
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 244
- 147
Msaada jamanii,
Nataka kufungua library ila naitaji kujua mashine ipi nzuri kubwa, namaanisha full computer ambayo inauwezo mkubwa.
Pia naitaji kujua bei za CD kwa jumla pia na bei za protector za simu na ma cover ya simu beii ya jumla.
Shukranii