Hemedy rashidy
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 244
- 147
Shukranii kaka nakitoaHicho kibonzo kinaondoa muktadha mzuri wa shida yako
[emoji1545][emoji1752]Shukranii kaka nakitoa
Ina bin utumie z2000 au z 240 nichek 0621234940 naziuza mmMsaada jamanii,
Nataka kufungua library ila naitaji kujua mashine ipi nzuri kubwa, namaanisha full computer ambayo inauwezo mkubwa.
Pia naitaji kujua bei za CD kwa jumla pia na bei za protector za simu na ma cover ya simu beii ya jumla.
Shukranii
Ina bin utumie z2000 au z 240 nichek 0621234940 naziuzaMsaada jamanii,