Msaada: Bei ya flat screen inch 40 na 42 Zanzibar

tricky

Senior Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
107
Reaction score
32
msaada kwa anayejua bei ya tv aina ya samsung inch 40 ama 42 mtumba kwa zanzibar.
 
Tricky usiende kununua mtumba huwezi jua aliyeiacha aliona tatizo gani. Jitahidi upate ya dukani maana bei hazina tofauti sana, kama unaweza nenda maduka ya jeshi au Magereza duty free shops waombe askari watakusaidia
 
poa aadilu..
 
Kama unafahamiana na mtu hapa Musoma mwambie akuagizie ni kati ya 1m-1.2m. Kila la kheri. Usafiri ni kama 50 tu mpaka Dar. Maduka ya Jeshi ni 1.7m LG or Samsung (42 Inch) na Game (Mlimani City) ni kati ya 1.54m na 1.76m.
 
Back
Top Bottom