Tricky usiende kununua mtumba huwezi jua aliyeiacha aliona tatizo gani. Jitahidi upate ya dukani maana bei hazina tofauti sana, kama unaweza nenda maduka ya jeshi au Magereza duty free shops waombe askari watakusaidia

Kama unafahamiana na mtu hapa Musoma mwambie akuagizie ni kati ya 1m-1.2m. Kila la kheri. Usafiri ni kama 50 tu mpaka Dar. Maduka ya Jeshi ni 1.7m LG or Samsung (42 Inch) na Game (Mlimani City) ni kati ya 1.54m na 1.76m.