Msaada: Bei ya mchele kwa Dar na Dodoma

Msaada: Bei ya mchele kwa Dar na Dodoma

santos mtn

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
348
Reaction score
369
ndugu zangu nahitaji kujua kwa maeneo ya dar na dodoma mchele ni bei gan kwa kilo kuanzia wa kawaida hadi mzuri sana
 
Nilishamaliza masomo huko dom, sasa nimerudi home town
 
Dar 1700 hadi 2000...hii ni kwa gunia la kilo mia yani jumla
 
Nina gunia 100 za mpunga zipo Igunga mjini anayehitaji aje pm
 
Back
Top Bottom