Msaada: Bei ya Sato kwa Dar es Salaam na Dodoma

Msaada: Bei ya Sato kwa Dar es Salaam na Dodoma

Goodluck7

Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
10
Reaction score
12
Naomba kujua bei kuu ya kilo moja ya samaki aina ya sato wa ziwa victoria, bei yake kwa Dar es Salaam na Dodoma ni shilingi ngapi kwa kilo moja?
 
Nitakuulizia buchani maana sijanunua siku nyingi sana.
 
Back
Top Bottom