Goodluck7 Member Joined Mar 4, 2022 Posts 10 Reaction score 12 May 16, 2024 #1 Naomba kujua bei kuu ya kilo moja ya samaki aina ya sato wa ziwa victoria, bei yake kwa Dar es Salaam na Dodoma ni shilingi ngapi kwa kilo moja?
Naomba kujua bei kuu ya kilo moja ya samaki aina ya sato wa ziwa victoria, bei yake kwa Dar es Salaam na Dodoma ni shilingi ngapi kwa kilo moja?
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 May 16, 2024 #2 Nitakuulizia buchani maana sijanunua siku nyingi sana.
Goodluck7 Member Joined Mar 4, 2022 Posts 10 Reaction score 12 May 16, 2024 Thread starter #3 Buchani pia na sokoni kama utapata muda mzuri
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 May 16, 2024 #4 Tuna subiri bei elekezi ya EWURA