S sharura Member Joined Jul 8, 2012 Posts 15 Reaction score 0 Jul 11, 2012 #1 Wana Jamvi habari zenyu? Naomba msaada kwa anae fahamu kodi ya chumba pamoja na flemu ya duka kwa mkoa wa Mbeya ni Kiasi gani?
Wana Jamvi habari zenyu? Naomba msaada kwa anae fahamu kodi ya chumba pamoja na flemu ya duka kwa mkoa wa Mbeya ni Kiasi gani?