Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK mkuu address zao unazipatajeZinapatikana arusha mkuu..ni nzuri sana nadhani zinafika hadi laki saba kwa sasa pamoja na kifurushi cha mwaka mzima..utapata channel zote za michezo za bein sport pamoja na channel za ndani(kibongo)
Mkuu, tunaomba mawasiliano yao hao jamaaZinapatikana arusha mkuu..ni nzuri sana nadhani zinafika hadi laki saba kwa sasa pamoja na kifurushi cha mwaka mzima..utapata channel zote za michezo za bein sport pamoja na channel za ndani(kibongo)
true hawana hatimiliki ya ukanda huu..wenyewe wapo uarabuni..sasa sijui wanaotumia bein sport bongo wanaipataje!!Hao Hawana Hati Miliki Yakurusha Matangazo Hapa East Africa Kwakuwa Supersport Tayari Anamiliki Ukanda Wote
Kuitumia Unaweza Kuitumia Sema Hapa East Africa Huwezi Pata Vinapouzwa Labda Uwe Na Mtu Anayesafiri Congo,zambia,malawi Akuleteetrue hawana hatimiliki ya ukanda huu..wenyewe wapo uarabuni..sasa sijui wanaotumia bein sport bongo wanaipataje!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu mbn mm natumia na nipo bongo sema upatikanaj wake kwa hapa bongo ni mgumutrue hawana hatimiliki ya ukanda huu..wenyewe wapo uarabuni..sasa sijui wanaotumia bein sport bongo wanaipataje!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulipataje? ?Hapana mkuu mbn mm natumia na nipo bongo sema upatikanaj wake kwa hapa bongo ni mgumu
Nilinunua congoWewe ulipataje? ?
Malipo yake kwa mwezi ni bei gani aisee kakaZinapatikana arusha mkuu..ni nzuri sana nadhani zinafika hadi laki saba kwa sasa pamoja na kifurushi cha mwaka mzima..utapata channel zote za michezo za bein sport pamoja na channel za ndani(kibongo)
Dola zipo, wewe sema ni Dola ngapi ?