Msaada: Bein Sport Decoders

https

Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
93
Reaction score
112
Hbr wadau,

Naomba kuuliza, decoders za bein sport kwa Dar es Salaam nani anauza?

Hao jamaa naona wako vizuri sana mikoani kwa watoa huduma za cables, nilitaka kupata decoder yao hapa dsm
 
Duh na mimi ngoja nisikilizie apa apa. Maana naitaji pia?
 
Zinapatikana arusha mkuu..ni nzuri sana nadhani zinafika hadi laki saba kwa sasa pamoja na kifurushi cha mwaka mzima..utapata channel zote za michezo za bein sport pamoja na channel za ndani(kibongo)
 
Mtafute mtu anaitwa Mwl.RCT humu jf
 
Zinapatikana arusha mkuu..ni nzuri sana nadhani zinafika hadi laki saba kwa sasa pamoja na kifurushi cha mwaka mzima..utapata channel zote za michezo za bein sport pamoja na channel za ndani(kibongo)
Mkuu, tunaomba mawasiliano yao hao jamaa
 
Duka la electronics la benson ni mfanyabiashara maarufu sana pale arusha ni mtanzania mny asili ya asia.
 
Hao Hawana Hati Miliki Yakurusha Matangazo Hapa East Africa Kwakuwa Supersport Tayari Anamiliki Ukanda Wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…