Msaada Benjamin Mkapa High School

CnaJina

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
468
Reaction score
84
Jamani dogo amechaguliwa benja PCB,, hiyo shule ipoje??
 
KARIAKOO kama ndo wale masharo asubirie 0 coz pale imekaa vibaya TOWN inawafaa arts.ila kama mgumu kwa kuweka ngumu fresh
 
KARIAKOO kama ndo wale masharo asubirie 0 coz pale imekaa vibaya TOWN inawafaa arts.ila kama mgumu kwa kuweka ngumu fresh


No mtt wa kike, kitaaluma ipoje? Also kuna hostel pale krb?
 
dah hiyo shule bana inahitaji jitihada zaidi akimbwelambwela atazungusha hakuna hostel wala nn ,inabidi dogo ahustle sana twisheni za kutosha nn ,hostel labda msimbazi centre ndo karibu ila dogo inabidi akomae sana
 
PCB Benjamin. Kaingia cha kike pale n egm.hge NA arts.
 
Usisikilize maneno ya watu ambao usikute wanapitaga kwa nje tu.
1.Kitaaluma ni kawaida i.e kama shule nyingine za serikali.
2. Performance inategemea na juhudi binafsi. Mfano: form 6 mwaka huu aliyeongoza maths kitaifa katoka pale. Kama ni msomaji anatoka.
3. Hostel zipo, maeneo ya jirani. Kuna Al-Haramain pale nyuma ya Benja. Pia kuna hostel za msimbazi kwa girls.
4. Jirani na mchikini ambapo kitovu cha masomo ya tuition, kama ataweza kuafford.
 
Me nmepga pale kwa comb za science hakuna k2 labda business en arts
 



Ahsante mkuu!
 
Me nmepga pale kwa comb za science hakuna k2 labda business en arts
Labda ulikuwa shallow mkuu. Mimi pia nimepiga pcm na nimetusua fresh. Alaf kitu kingine, shule za serikali zote sawa tu. Changamoto ni zile zile. Ukitaka shule nzuri labda umpeleke private.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…