Msaada (Biashara gani)

Msaada (Biashara gani)

Fmewa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Posts
292
Reaction score
81
Katka harakati za hapa na pale nimejibana kwenye kamshahara kadogo nimekusanya sh 1 mil ambayo nataka niifanyie biashara itakayonisaidia kunitoa katika hali niliyonayo japo nipige hatua.
Nimekua nikifiria kuhusu biashara ya kuuza chips au chakula lakini sina uelewa sana na biashara hiyo. pia ninafikiria kufanya uwakala wa mpesa,tigo pesa, airtel money n.k.
Kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia nini cha kufanya kwa kahela haka kadogo itakuwa njema zaidi coz nimekusudia kukazungusha.
Tafadhali naomba kuwasilisha
Asanteni ndugu zangu
 
Duh, hii kali yaani aina ya biashara inategemea he or she?
Ok im a boy (he)
 
Duh, hii kali yaani aina ya biashara inategemea he or she?
Ok im a boy (he)

Inawezekana jamaa anaangalia kama wewe ni she akushauri biashara zinazoendana na wakina she kama vile saluni za wakina she,hajui kama he anaweza kufungua biashara za wakina she pia.
 
Sijajua interests zako, unaweza kuwa wakala wa m-pesa
 
Jamani tusidiane maoni,, pengine kuna wazo ambalo laweza msadia aliyeuliza swali, au wengin wenye kusoma blog hii. M-Pesa, ni ushauri bora pia, lakini yalipa? Income ya M-pesa ni ngapi kwa kiasi fulani cha pesa zilizotumwa?
 
Back
Top Bottom