Msaada: Biashara mtaji 3ml

Misspina

Member
Joined
Apr 30, 2011
Posts
65
Reaction score
11
Salamu wakuu. Nina mtaji wa 3ml nataka nifanye ujasiriamali maeneo ya BUGURUNI, BUNGONI, AMANA AU ILALA BOMA, naombeni msaada wa mawazo ni biashara gani nitaweza kuifanya kwa mtaji na maeneo hayo?
 
Weka duka lolote tu.fremu itazame soko au barabara kuu
 
Kama una nafasi na muda mwingi wa kusimamia fungua biashara chips mkuu iwe classic utarudisha hiyo pesa na kufungua multiples chips stalls soon na uta grow fastaaa
 
Nikutumie ac namba uweke huko baada ya mwaka nikurudishie mara tatu?
 
Kama una nafasi na muda mwingi wa kusimamia fungua biashara chips mkuu iwe classic utarudisha hiyo pesa na kufungua multiples chips stalls soon na uta grow fastaaa

Asante kwa ushauri, nitaufanyia kazi nione ni muda gani haswa napaswa kuutumia kwani mimi ni mtumishi wa serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…