1800
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 2,215
- 604
Wadau naomba kuelimishwa juu ya ni aina gani ya biashara ndogo ndogo naweza fanya kati ya Tanzania na Kenya!kifupi nilikua naomba msaada juu ya bidhaha gani nazoweza pata Kenya ki urahisi na ambazo soko lake Tanzania ni kubwa na pia ni bidhaha gani ambazo demand yake Kenya ni kubwa ila zinapatikana rahisi zaidi nchini Tanzania!asanteni wadau