Msaada biashara ya alizeti.

edward55

Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
11
Reaction score
2
naomba kama kuna mtu anajua kuhusu biashara ya Alizeti na upatikanaji wa soko anielekeze nataka kujiajiri..
 
Ni biasharfa nzuri kwa ushauri ni bora ununue na ukamue mafuta wewe mwenyewe kuliko kuuza alizeti, alafu alizet inatofautiana ktk utoaji wa mafuta mf ya sumbawanga ni nzur ukilinganisha na mbozi, wewe upo mkoa gani?
 
Dodoma ndo nilipo ila naweza chukua hiyo iliyo nzuri.thanks
 
kama upo Dodoma alizeti inapatikana kwa wingi singida mkuu!
 
hiv kwa morogoro haziwez kustawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…