Wakuu naombeni msaada wenu, ivi hii biashara ikoje? Namaanisha katika sekta zifuatazo;
1. Upatikanaje wake. Kwa waliofika Tabora na wenye ufahamu wa biashara hii ,je inapatikana kwa bei kiasi gani?
2. Usafiri kutoka mahali mzigo ulipo mpaka kufika Tabora mjini na usafirishaji wake mpaka jijini Dar esa salaam.
3. Vibali vinavyohusika na usafirishaji wa biashara hii ya maliasili Ikiwemo gharama zake.
4. Faida yake ,especially kwa mtu aliyewahi kufanya biashara hii directly.
Msaada wenu wakuu.