Msaada, Biashara ya Bureau De Change

Msaada, Biashara ya Bureau De Change

sirdelta

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
306
Reaction score
82
Wazee naomba mnijuze juu ya biashara hii; ikoje na faida zake..
 
Leo najua ni jpili wengi wenu mmepumzika na kamvua haka .... naomba walau maneno matano kuhusu kicha wa habari hapo juu usijali kama nimekosea spelling
 
ukijifunza kuuliza tutakuja kukujibu, maana inaonekana hujui hata unachotaka kukifahamu kuhusu bureau.
 
Nataka kujua faida zake na hasara zake na misingi ya kuendesha hii biashara ....Chipsi dume ...nazani sasa utakuwa tayari kwa majibu
 
Hebu tuliza urudie ush.uzi uliouandika kisha uandike tena kwa usahihi!! BUERUE ndio nini?
 
Bureau de change ziko regulated na BOT , so kila siku mnapewa update za exchange rate za BOT au unaangalia kwenye website yao.SO na ww unajua u set changes zako vipi.Ila naona faida itakua ndogo sana labda uende airport.Ni kama bidhaa nyingine mkuu,ila kuanzisha lazima upate lesseni kutoka BOT, non -bank bank na regulated by Financial Institution Act kama sijakosea
 
Principle ni moja ya business ,unanunua bei ya chini unauza bei ya juu
 
Back
Top Bottom