Msaada: Biashara ya DryCleaning

Technohama

Member
Joined
May 2, 2014
Posts
14
Reaction score
1
Habari wadau.

Naomba msaada juu ya biashara ya Drycleaning. Ningependa kujua hasa juu ya gharama za mashine na jinsi nnavyoweza kuagiza kutoka nje pamoja na kodi za TRA au kama hapa Tanzania zinapatikana.

Natanguliza shukrani
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…