Mini supermarket at least uwe na 50M, ambapo pekee miundombinu inaweza kulamba 20, hiyo 30 ndio bdhaaHabari wadau,
Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitu vya nyumbani.
Naomba kufahamu makadirio ya mtaji, changamoto na uzuri wa biashara, na mahitaji yote ili kufungua biashara hii.
NB; Duka la kisasa(mfano wa mini supermarket). asanteni