Msaada: Biashara ya Kitimoto au Ng'ombe

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,656
Reaction score
722
wakuu itifak imezngatiwa.
nataka kuanza iyo biashara ila mtaji wangu ni mdogo
,,natafuta mtu mwenye mtaji mkubwa ili tukienda
kununua ng'ombe nitakuwa naongozana nae mikoani kuleta dsm
nitamsaidia kazi zingine ndogo ndogo bila malipo ila
atanisaidia kuweka ng'ombe au kitimoto wangu sita au
saba ili nami nianze mdogo mdogo.
ambaye yuko tayari ani PM.
 
Nenda kibaigwa wafugaji wa pale kila wiki wanapandisha Nguruwe kwa kushare transport na kuwaleta Dar.Tafuta mfugaji yeyote anajua hiyo maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…