Msaada: Biashara ya kufanya Mwanza

Msaada: Biashara ya kufanya Mwanza

kwa mwanza fungua duka la nafaka japo sijajua uko maeneo gan mkuu, ila kiukweli ni kwamba mwanza inawatu wengi sn kwa sasa na wengi hawajishughulishi na kilimo cha mazao ya vyakula, hivyo wengi wanategemea kununua vyakula.

pia kwa mwanza upatikanaji wa mazao ya nafaka ni rahisi kulingana na kwamba imezungukwa na jamii za wakulima, nafaka ni bidhaa ambayo haipitwi na wakati na haiharibiki haraka.
 
Nina mtaji wa Milioni 5. Naweza kufanya biashara gani Mwanza? Hata kama itaingiza faida kiwango kidogo sana ili mradi tu tuishi.
Umenifurahisha sanaa mkuu... Cha muhimu kuishi tuuh...
Kwa ushauri tafuta wateja wa mikoani kama dodoma.,moro na dar uwatumie samaki mbichi kwa bei ya jumla...
 
Hahahaha ahsante Mkuuu, si unajua life letu ilimradi usiadhirike tu
Umenifurahisha sanaa mkuu... Cha muhimu kuishi tuuh...
Kwa ushauri tafuta wateja wa mikoani kama dodoma.,moro na dar uwatumie samaki mbichi kwa bei ya jumla...
 
Kwa sasa sipo mwanza, ila nahisi kwenda kuanza life huko, Ahsante sana jembe, nategemea kufanya kama ulivyoniambia
kwa mwanza fungua duka la nafaka japo sijajua uko maeneo gan mkuu, ila kiukweli ni kwamba mwanza inawatu wengi sn kwa sasa na wengi hawajishughulishi na kilimo cha mazao ya vyakula, hivyo wengi wanategemea kununua vyakula.

pia kwa mwanza upatikanaji wa mazao ya nafaka ni rahisi kulingana na kwamba imezungukwa na jamii za wakulima, nafaka ni bidhaa ambayo haipitwi na wakati na haiharibiki haraka.
 
Kwa ushaur fnya biashara y samaki dagaa tafut solo mikoani kwa jumla jumla
Ukiwa serious mwaka mmoja ushatoboa solo lskutosha
Good lucky
 
Back
Top Bottom