baba ngida91
Member
- Jul 17, 2024
- 5
- 3
Unafanya kazi gani? Una utaalamu gani?Habari mimi ni muajiriwa wa sekta binafsi na natamani nipate msaada wa wazo la kibiashara litakalonikwamua na kunitoa kwenye kuajiriwa.
Wazo langu nilitamani nifanye house floor plan na kuziuza hizo ramani kwa watu tafadhari mwenyew idea na uelewa wa hii biashara naomba ushauri nitatoka?
Na kama kuna idea nyingine ya designing ambazo naweza pata soko tafadhari karibu kwa maoni
taaluma yang ni electronics n telecommunication eng diploma pia nina cheti cha CCNA ila kazi nayofanya sio ya taaluma yangu.. nilitaka nitoke kwemye ajira na nijiajiri mkuuUnafanya kazi gani? Una utaalamu gani?