Habari zenu
Narudi kwa mara nyingine wadau nahitaji msaada wenu juu ya uendeshaji wa biashara ya kufua kwa machine.
Naombeni bei za kufua za nguo aina tofauti na machine zipi ni bora.
its a good idea but i think our society is yet to receive this kind of biz ness so it will take long to break even ,labda uanzishe biashara hii ukiwa na lengo la kuosha uniform za makampuni kama ya ulinzi etc.