Msaada: Biashara ya kukodisha tents

UGOKO MKAVU

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
202
Reaction score
78
Baada ya kuumiza kichwa kufikiri ni biashara gani nitakayoianzisha ikifuatiwa na kufanya utafiti, nimepata sehem flani ambayo inafaa sana kwa biashara hii hivyo nina mpango wa kumiliki hizo tents kwa ajili ya kukodisha kwenye sherehe, misiba, mikutano na hafla nyinginezo. Napendelea kuanza na tents 3.

Naomba kujuzwa yafuatayo:
1. Je gharama ya kutengeneza tent moja ni sh ngap?
2. Gharama za kukodisha kwa siku
3. Masharti anayopewa mtu anayekodi
4. Viti vingapi vinahitajika kwa kila tent?
5. Mengineyo yanayohusu hiyo biashara

NB: Nikifanikisha huu mradi nitakuwa wa kwanza na pekee kutoa huduma hii kwenye eneo husika na nitasaidia wengi ukizingatia mahitaji ni makubwa.

Shukrani.
 
Tenti moja zuri likiwa na zile vyuma vyake ni 2.2mil!
 
urefu kiukweli cjui coz huwa nayaona tu labda kwa kukadiria ni kama ft 18, naomba unitajie uref na bei zake

Mkubwa cjui bei na urefu ila kuna kipindi nlikua na hilo wazo ila nlifatilia sehem na nkatajiwa bei na nkaona huu ni ufilisi ila kuna frnd anasema either Morogoro kuna kiwanda cha kutengeneza na hata KKOO kuna sehemu wanauza mitaa ya uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…