Msaada biashara ya kutumia mashine za betting

jino

Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
33
Reaction score
12
Ndugu zangu za mida naomba kwa yeyote aliwahi kutumia machine za betting kama sehemu yake ya biashara anisaidie.

Ninafikiria kufanya biashara hiyo hivyo nilikuwa naomba mnisaidie niweze kujua biashara hiyo kwa undani.

Kama vile changamoto,faida pia vitu gani vinaweza kukupa hasara katika biashara hivyo kama umakini hauto zingatiwa.

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beti kwanza acha kutaka kufanya biashara haramu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…