Msaada: Biashara ya kuuza simu inahitaji nini?

Mayova

Senior Member
Joined
May 10, 2018
Posts
189
Reaction score
132
Wazee mambo vipi? Natumaini mko vizuri sana na mungu anaendelea kutulinda. Sasa Naomba mwenye uzoefu wa biashara ya kuuza simu.
 
Inahitaji simu tu

Mambo mengine yote ni ya kibiashara zaidi. Mwenye biashara yoyote anafanya
 
Kuna brother anamiliki duka la jumla la simu.kama unataka kufanya hiyo biashara nicheki,
 
Naona biashara ya Saloon imezaa biashara ya simu hongera sana.

Back
Top Bottom