Omary Sultan Mndeme
Member
- Jan 26, 2013
- 6
- 2
Ahsante kwa kutaka kuelewa hili maana inaonyesha kuna dalili za kupata jibu ni CDKukodisha CD au mikanda? Tuelewe kwanza hapo.
Nilifikiri ni library ya vitabu, ningekwambia andika maumivu.
Kwa sababu sisi wabongo ni wavivu wa kusoma. angepata watu wachache saaana.why......?
Kwa sababu sisi wabongo ni wavivu wa kusoma. angepata watu wachache saaana.
Hapo wangekuja watu dizaini hii..au angeweka Sani...Ijumaa etc.......si etii eeh.....
Hapo wangekuja watu dizaini hii..
why......?
Wadau sijapata jibu bado nahitajika nipate kibali Cosota au kuna chama chochote kinatoa kibal kwa ajil ya kukodisha cd za movie za Kitanzania?Kama kuna mdau anajua hili anisaidie maana ninakahela kangu kangama nataka nikaingize hapo na nishaanza kukadokoa kasiishe bure mdau ajitokeze nami niweze kujikwamua kwa kuwakodisha cd hz maana naona library ni nyng kila eneo
Shukran mkuu ubarikiwe sana nitafanyia kazi hiiNadhani kwanza uende TRA ukarekebishe mambo yao, pili kama utakua unauza CD original na sio fake pia kama ukiwa haufanyi issue ya ku-burn CD sidhani kama ni tatizo unaweza anza bila ya kwenda COSOTA, ila kama una wasiwasi COSOTA ndo wanapotoa vibari kuhusu haki za wasanii, ni biashara nzuri kama utapata sehemu nzuri, isiwe Uswazi sana wala isiwe kwa kishua sana, pia iwe sehemu yenye movement ya kutosha yenye Wakazi na wapita njia cuz utakua unakodisha pia kuuza, uzuri ni kuwa ukiwa na Mil. 1 mpaka 1.5 unafungua Library ya ukweli na itakulipa brother.
Habarin Wadau,nko Ruvuma Huko Nataka Kuanzsha Biashara Ya Kukodisha Na Kuuza Kanda Za Cd,vp Ina Athar Gan Hii Biashara?na Je Kwa Sh.laki Tano Itatosha?