Msaada: Biashara ya Nanasi Dar es salaam

Msaada: Biashara ya Nanasi Dar es salaam

bank

Senior Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
158
Reaction score
24
Habarini wadau,Mimi nataka nianze biashara ya kuuza nanasi hapa dar kwani naona kama ndio msimu umeanza maana nimeona kuna maeneo washaanza kumwaga
Naombeni mwenye kujua zinakopatikana kirahisi kwa bei ya jumla na nafuu kwani nataka nichue mfano canter moja na kuja kuzimwaga eneo lenye wapitaji wengi na kuanza kuuza kwa mtindo huo

Noambeni sana mwenye taarifa zaidi anisaidie naamini na wengine watafaidi pia
Asanteni
 
Nenda kiwangwa,nanasi zimetoka sana mwaka huu.
Utazimwaga kimara pale kwenye uwanja wa tanesco.
N.n
fanya survey kwanza
 
Back
Top Bottom