Msaada: Biashara ya Nyumba ya Wageni (Guest House) imekaaje?

Funga Camera kila chumba

show tiime zikapigiwe choooni

ila mteja akitumia tu kitanda DAI PESA yako ukja kufata hesabu

Bila camera Utalizwa mpk ukione,labda ukae mwenyewe
Sio ushauri mzuri utakimbiza Wateja wote, weka moja tu Reception anaposainisha wagen au nzuri zaid weka ktk coridor tena iwe ile Hidden iko kama Bulb sio rahis kugundua wateja wakijua kuna Camera hawatorudi tena iyo Guest
 
Funga Camera kila chumba

show tiime zikapigiwe choooni

ila mteja akitumia tu kitanda DAI PESA yako ukja kufata hesabu

Bila camera Utalizwa mpk ukione,labda ukae mwenyewe
Duh
 
kwanza ,usitafute mfanyakazi mjanja tafuta binti mmoja anayejielewa kutoka kijijini. Mpaka akija kuchangamka tayari ushapiga pesa ,ukitafuta wafanyakazi wazoefu utagawana nao faida.
 
Camera mhudumu ataichezea tu,na kama ni mtundu ataihack iwe inastuck
 
Hoteli kubwa zote zina camera na privacy ipo mi nataka kuanza hii biashara ya lodge ila ntampa room moja muhudumu ndio apigishie short time ndio itakua mshahara wake
Haiwezekani , unakuta usiku vyumba vitatu vina wateja vilivyobakia vitupu, wakati mchana ukija karibu vyumba vyote vinawateja ukimpa chumba kimoja sio unamkomoa ila hasara kwako . Hawa wateja wa short time utawakosa na ndio wanakuletea faida
 
Wanaweza kuchonga funguo,mbongo mbona hana maana,ikitoka tu kwenye kimfuko unaichonga fasta.

“Tunachonga FUNGUO aina zote”.

Hapo umemmaliza mwenye wazo la vimfuko, kikubwa tuaminiane tu wewe boss chukua hesabu yako nami nina maisha yangu.... ukitaka kubana kila kona utakuwa hulali huko uliko.
 

Unawaza mambo magumu sana, lengo hapa unamkomoa nani..?

Uliyemwajiri hapo unamwamini na yeye anafanya maisha yake kupitia hapo, kama lengo lako ni kumbana si umtimue tu ukae mwenyewe.... ukishachukua mauzo asubuhi utafunga tena vimfuko spesho..?

Wakati huo kumbuka wateja hawajaamka hivyo huwezi kufunga milango na usafi bado, kama unachukua pesa za usiku pekee basi mchana mwenzio atapiga hela zaidi yako kwa short time.... muda huo anatumia funguo bandia eti umesema hizo key holders zitasaidia nini..?
 
Kufunga vimfuko spesho❌
Kumbuka Kuna wateja kuonyeshwa vyumba na kuvikataa!
 
Kwa siku chumba kimoja ninaweza kodiahwa kwa watu zaidi ya 10.
 
Kaa mwenyewe kwa muda wa mwaka.., utajua peak times na slow times na utajua average ya mapato kwa siku, mwezi na mwaka..., ukimuachia mtu ikiwa pungufu ni either hajui kazi (customer care) au ni mwizi..., hivyo vyote ni vigezo vya kutafuta mwingine
Low times ni kwenye ule mwezi unaoitwa mtukufu( hapa unaweza hata kutoa likizo kwa wafanyakazi). Peak times ni just b4 huo mwezi na just after huo mwezi(hapa watu wanakuwa na libido za kutosha). Hizi ni experience za guest za town
 
Niliwahi Kufanya Kazi Guest Moja Hapa Dar Kabla Sijajishikiza Huju Mkoani:

Yule Mama Alikuwa Anatubana Hivi.

1. Asubuhi Saa 12 Kamiki Anataka Umtumie Report Yenye IDADI YA VYUMBA NA NAMBA ZAKE, IDADI YA MASHUKA MACHAFU, IDADI YA SABUNI ZIKIZOBAKI NA UNIT ZA UMEME ZILIZOBAKI.

2. Anampigia Mlinzi Akitoka Anamuuliza Kama Kuna Mtu Aliingia Usiku.

3. Anampigia Mfua Mashuka Anamuulza Kafua Mangapi

4. Anapiga Surprise Kama Zote, Unashangaa Anakupigia Mchana Anakuuliza Umeuza Vyumba Vingapi.

5. Anamtuma Snitch Aje Apange Chumba Then Anakuulizia Kama Hicho Chumba Kilitoka.

ALL IN ALL NILIKUWA NAMPIGA VIZURI, YEYE AKIPATA 150K MIMI NINA 50K

Baadae Ndio Akapata Mbinu Ambayo Ilimsaidia Kuziba Kabisa Mianya Ya Sisi Kupiga Ndio Nikaamua Kusepa Pale

Aliweka CCTV Camera Milango Yote Na Kwenye Korrido, Halafu Zikawa Connected Kwenye Router So Zipo Live Moja Moja Kwenye Screen Take, So Hakuna Tena Utapeli, Yaani Yupo Live Masaa 24 Anaona Guest Yake Kutokea Nyumban Kwake Gomz.

NA HII NDIO NJIA PEKEE YA KUZUIA KUPIGWA KWENYE BIASHARA YA GUEST.
 
Huu utaratibu nilikuta sehemu na tulishindwa kulala hiyo gest make unaambiwa hakuna cha kutazama chumba yaani bahasha imichanwa tu lazima mtu alale.

Utaratibu wa kijinga sana
 
Mbona hoteli kubwa zoe zina Camera systeam? Kwenye kordo. Nenda hoteli kubwa uone
Sio ushauri mzuri utakimbiza Wateja wote, weka moja tu Reception anaposainisha wagen au nzuri zaid weka ktk coridor tena iwe ile Hidden iko kama Bulb sio rahis kugundua wateja wakijua kuna Camera hawatorudi tena iyo Guest
 
Ziko wazi kabisa na zinaonekana
Sio ushauri mzuri utakimbiza Wateja wote, weka moja tu Reception anaposainisha wagen au nzuri zaid weka ktk coridor tena iwe ile Hidden iko kama Bulb sio rahis kugundua wateja wakijua kuna Camera hawatorudi tena iyo Guest
 
Funga Camera kila chumba

show tiime zikapigiwe choooni

ila mteja akitumia tu kitanda DAI PESA yako ukja kufata hesabu

Bila camera Utalizwa mpk ukione,labda ukae mwenyewe
Kabisa
 
Hakuna uaminifu kwenye pesa
 
Wabongo hamna huruma. Ninyi ndo mnaua biashara. Yaani mgawane faida nusu kwa nusu! Kwa sababu hata kama anapata 150000 lakini humo pia kuna gharama za uendeshaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…