Msaada Biashara ya T-shirt Printing

Msaada Biashara ya T-shirt Printing

dapam

Senior Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
108
Reaction score
37
Wadau,

Mimi ni mjasiriamali ambae nimepanga kuanza biashara ku print tshirt tatizo langu ni jinsi ya kuweka maandishi. Je unatumia programme gani ili kuyaweka maandishi yasomeke sawa.

Kwa walio kwenye biashara hii nadhani weshanielewa
 
Back
Top Bottom