dapam Senior Member Joined Dec 19, 2014 Posts 108 Reaction score 37 Aug 17, 2015 #1 Wadau, Mimi ni mjasiriamali ambae nimepanga kuanza biashara ku print tshirt tatizo langu ni jinsi ya kuweka maandishi. Je unatumia programme gani ili kuyaweka maandishi yasomeke sawa. Kwa walio kwenye biashara hii nadhani weshanielewa
Wadau, Mimi ni mjasiriamali ambae nimepanga kuanza biashara ku print tshirt tatizo langu ni jinsi ya kuweka maandishi. Je unatumia programme gani ili kuyaweka maandishi yasomeke sawa. Kwa walio kwenye biashara hii nadhani weshanielewa