Msaada biashara ya usafi kwenye maofisi

Tobido

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
331
Reaction score
76
Habari Wadau.

Nna wazo la kufanya biashara ya usafi kwa maofisi kwa kufungua kampuni ya usafi. Naomba mchango wenu wazoefu wa biashara hii hasa uendeshaji wake na jinsi ya kupata clients.

Thanks in advance.
 
Mbona kimya jamani. pia nataka kutoa huduma ya zoa taka pia. naomba wazoefu tushee ideas.
 
Jamani waungwana mbona mnamchunia jamaa? Msaidieni bana. Post ina ck 3 hamumshauri.. Dah! Jf wabaguzi eeh...

Na we mtoa mada umeingia vibaya kha!! Ungeweka maelezo ya kutosha na begging language!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…