Ndugu zangu nataka nifungue duka la vifaa vya umeme mbeya chunya, mwenye uzoefu na hii biashara anipe ABC
Taa za ndani
Flexible wire
Switch socket
Extension
Taa za nje
Etc
Ndugu zangu nataka nifungue duka la vifaa vya umeme mbeya chunya, mwenye uzoefu na hii biashara anipe ABC
Taa za ndani
Flexible wire
Switch socket
Extension
Taa za nje
Etc
Mimi si expert ila ishauri wangu unaweza kua kwa kua ndio unatazamia kuanza biasha basi chagua zile electronics ambazo watu wamezoea lakini zenye mwonekano mpya na mzuri zaidi(modified) kama switch au taa. Kisha nenda kariakoo kwa jamaa wa jumla maana kuagiza nje bado, na uwaombe ufanye kama ambassador wao ili wateja wakuelewe. Mbeya ni top three katika mapato so utawin.
Ndugu zangu nataka nifungue duka la vifaa vya umeme mbeya chunya, mwenye uzoefu na hii biashara anipe ABC
Taa za ndani
Flexible wire
Switch socket
Extension
Taa za nje
Etc