Utaratibu huo umeanza lini??Just to inform you... Utawa/utumishi unatokana na wito..sio bikira.
Sent using Jamii Forums mobile app
but after a while wanadunyuliwa na wale wa kiume, frateNaomba ufafanuzi kuna maeneo huwezi kupata kazi au kujiunga mpaka uwe bikra...
Mfano watawa wa RC hiyo ndio sifa kuu ya kujiunga nao,je hizo bikra wanapima kwa style gani?
Sent using Jamii Forums mobile app