SACO
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 2,623
- 3,397
Najua wengi watasema nenda hospitalini lakini ni kuwa huko amepelekwa na hadi madaktari wa mifupa amekutana nao lakini hawajafanikiwa. Anakuwa kama anapararize upande mmoja hasa kwenye mkono mmoja na anatetemeka sana ni mwaka sasa kiasi hadi ndugu wanafikiria kwenda kwa witch doctor. Naomba msaada kabla baadhi ya ndugu hawajachukua maamuzi