Msaada: Binti kapotea Shinyanga, anatafutwa

Msaada: Binti kapotea Shinyanga, anatafutwa

Josephat Sanga

Senior Member
Joined
Aug 29, 2016
Posts
151
Reaction score
98
Screenshot_20231006-195301_WhatsApp.jpg
 
Hio tarehe naona sahihi? Yan toka tarehe 28/7 kweli ? May be kuna mistake
 
Hilo la kusafirisha watoto kama makasha ya migebuka ni jambo la utaahira kabisa.Aliyemsafirisha ni wa kuadhibiwa wakati mtoto huyo anatafutwa.
Naunga mkono hoja, japo mda mwingine hizi familia za kijijini zina changamoto zake kwa habari ya uelewa mkuu, unajua huko vijijini ndanindani bado wanajua kuwa ukienda mjini unaweza kuulizia tu kwa fulani na ukaonyeshwa bila kujua umbali na popular ya watu
 
Kapotea muda mrefu, atapatikana akiwa salama, yupo tu huko anafanya kazi za ndani bila malipo.
 
Poleni sana tuombe awe mzima wa afya

Safari ndefu ya mkoa mkoa sio vizuri kumsafirisha mtoto mdogo km mizigo
 
Naunga mkono hoja, japo mda mwingine hizi familia za kijijini zina changamoto zake kwa habari ya uelewa mkuu, unajua huko vijijini ndanindani bado wanajua kuwa ukienda mjini unaweza kuulizia tu kwa fulani na ukaonyeshwa bila kujua umbali na popular ya watu
Usikute ameishia mikononi mwa muuza mkaa Shinyanga
 
Back
Top Bottom