Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,898
- 4,156
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji52]Nime kumbuka O level nlikua na jamaa alikua ni kikojozi nkawa nam tunzia siri afu tuki fika kwa watu wengi ana vunga mjanja ana nigeuka kama ani jui......
kuna siku aliji laza kwenye bed yangu kumbe kapitiwa aka kojoa wee nli mfulisha adi nguo zangu ambazo nlikua sina ata mpango wa kuzifua .....japo nli kula sana rushwa ili nisi mseme kwa watu adi tuna maliza amna aliye wai jua kama jamaa alikua ni kikojozi [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mpaka leo kweli kuna wazee wanachapa watoto wao,ndio maana Tanzania tumepata raisi kama Magufuli,Anayoyafanya Magufuli ni madhara ya kupigwa utotoni,....Ndugu wanabodi,
Kichwa cha habari chahusika.
Nina binti yangu ana miaka kumi sasa lakini anajikojolea sana usiku akilala.
Sometimes huwa namchapa sana viboko ili aache lakini haijasaidia, sasa nimemuacha natafakari njia za kumsaidia zaidi. Adhabu yake huwa ni kumlazimisha afue mashuka na nguo zote anazozikojolea.
Nimeona niwashirikishe ndugu zangu labda kuna yeyote aliyefikwa na shida kama hii na akaitafutia fumbuzi.
Wenu katika kazi. Nisiye na jina humu.
Ahsanteni.
Ushikina hautomsaidia mtoto asikojoe kitandani,wangu kaacha baada ya kujua nini kinamsumbua kisaikologia,,,Kama utaweza kufuata huu ushauri utamsaidia. Wakati wa kupika ugali usiku usikoroge uji. Weka maji jikoni nyunyizia unga acha maji yachemke sana. Chota hayo maji ya moto. Yaweke pembeni songa ugali. Maji uliyo yachota yakiisha poa. Mpe anywe. Siku mbili tu. Hato kojoa tena. Fuata huo ushauri ni dawa tosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huo juu ndio ushauri wa kuufata kuna mtoto wa sister wangu alifika miaka 14. Na bado alikuwa anakojoa hatareee kishazomewa, kishachapwa, kishapelekwa kwa madaktari walisema dawa ya kikojozi hakuna. Kwahio muachieni tu mpaka atawacha mwenyewe na kweli kwa sasa hakojoi tena kitandani ila jina la kikojozi mpaka leo analo 😄😄.Wala usimchape! Kwa mujibu wa wataalamu hiyo hsli itaisha yenyewe. Cha msingi aepuke kunywa maji au vitu vya majimaji kama soda kabla ya kulala usiku. Ni vigumu kuamini lakini ndiyo itakavyotokea!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usimchape, ila hakikisha usiku asinywe vitu vya majimaji na ujitahidi usiku ukiamka umwamshe akakojoeNdugu wanabodi,
Kichwa cha habari chahusika.
Nina binti yangu ana miaka kumi sasa lakini anajikojolea sana usiku akilala.
Sometimes huwa namchapa sana viboko ili aache lakini haijasaidia, sasa nimemuacha natafakari njia za kumsaidia zaidi. Adhabu yake huwa ni kumlazimisha afue mashuka na nguo zote anazozikojolea.
Nimeona niwashirikishe ndugu zangu labda kuna yeyote aliyefikwa na shida kama hii na akaitafutia ufumbuzi.
Wenu katika kazi. Nisiye na jina humu.
Ahsanteni.
Unamuonea bure mtoto wako mkuu hiyo hali yeye haipendi hata kid go na anajisikia tabu kwanini unampiga kwa vile hafanyi kusudi.Ndugu wanabodi,
Kichwa cha habari chahusika.
Nina binti yangu ana miaka kumi sasa lakini anajikojolea sana usiku akilala.
Sometimes huwa namchapa sana viboko ili aache lakini haijasaidia, sasa nimemuacha natafakari njia za kumsaidia zaidi. Adhabu yake huwa ni kumlazimisha afue mashuka na nguo zote anazozikojolea.
Nimeona niwashirikishe ndugu zangu labda kuna yeyote aliyefikwa na shida kama hii na akaitafutia ufumbuzi.
Wenu katika kazi. Nisiye na jina humu.
Ahsanteni.
Hata Mimi wazee walinipiga sana walipokuwa hawajajua tatzo hilo nikiotewa na fimbo ikiwa tayar nikila nne hivi.Akikua ataacha.
Mimi nilikuwa nalimwaga hata mara mbili kwa usiku mmoja.
Nikiamka lazma nichezee bakora za dingi
Lakini haikusaidia. Yaani dingi alikariri asubuhi tu yupo chumbani kwangu na bakora.
Nilikuja kuacha nwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa wakiafrika wameweka mbele sana kupiga,ndio maana watoto wengi wa kiafrika wanakwa hawana akili,hawana maamzi,hawajiamini,hawana maaendeleo,...Unamuonea bure mtoto wako mkuu hiyo hali yeye haipendi hata kid go na anajisikia tabu kwanini unampiga kwa vile hafanyi kusudi.
Mimi nilikuwa na hali hiyo miaka ya 2002 badae ilikujaikakata ilijirudia tena 2003 mpk 2005 nilikuwa namwaga tu mkuu na nikijitahidi kuchelewa kulala na kutokunywa maji lakini ilikuwa nikae tu kitandani nipate usingizi nikishtuka tayar na kujiuliza baadhi ya maswali hivi mbona sipati hisia za kuhisi kukojoa ili nitoke aiseee niliona nikero kubwa kila siiku kutoa kigodoro njee, lkn kilichokuwa kikinisaidia na kukimbiza aibu watu wasijue nikwamba nyumba niliyokuwa ninaishi palikuwa nanyumba nyengine iliyokuwakaribu zaidi ambayo ilikuwa haijaimaliza kujengwa kwa hiyo ilipokuwaikifikia muda wa alfajir nikitoka za mdimilio yaan kimyakimya.
Kuna day flani alinijia brother wangu nakunieleza kwavile sikuzote unakojoa kitandani nitakupiga maana imeshakuwa mno nikawaza kwanini anipige kwavile sifanyi kwakutaka/kusudi na alitimiza adhma yake yakunipiga baada ya bakora ya 3 niliona mchi wakutwangia umepakiwa pembeni niliufuata nikamuelekea yeye alitoka ndukii kwa speed zote.
Bimother wangu alikuwa anajua hali yangu niliyokuwa nayo na aliniambia unamshipa na itabidi upate dawa za majani. Nilianza kutafutiwa dawa zile nanilitumia vizur tu na kwakweli tatzo liliondoka lá kukojoa kitandani mpaka sasa.
Samahan kwa maelezo marefu ila nikukufahamisha tu ndugu usimpige unamuonea sana.
Hata nyumban kwa watu ishanitokea hali hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha,.. nshafanyishwaga huu ujinga na shangazi nikiwa mdogo... It didn't work though.To cut short, mkojo ukimbana mchana mpandishe juu ya mti halafu umwambie akojoe. Habari za kujikojolea kitandani zitaishia hapo. Sielewi hili linafanya vipi kazi lakini kwa kila niliyemshauri ilifanikiwa.
Hii nimeona watu wakishuhudia inafanya kazi.so mhusika jaribu.Mlishe maji ya Mahindi zile nyewele zake likiwa teke teke ,zichemshe anywe wiki tu itamsaidia