kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,839
- 2,475
kuna jamaa anayo dawa ya kienyeji unatengeneza mwenyewe nikionana nae takushtuaNdugu wanabodi,
Kichwa cha habari chahusika.
Nina binti yangu ana miaka kumi sasa lakini anajikojolea sana usiku akilala.
Sometimes huwa namchapa sana viboko ili aache lakini haijasaidia, sasa nimemuacha natafakari njia za kumsaidia zaidi. Adhabu yake huwa ni kumlazimisha afue mashuka na nguo zote anazozikojolea.
Nimeona niwashirikishe ndugu zangu labda kuna yeyote aliyefikwa na shida kama hii na akaitafutia ufumbuzi.
Wenu katika kazi. Nisiye na jina humu.
Ahsanteni.
Asipo pona mwanao ushauri ulipewa ikiwa hauku msaidia nitafute mimi nipate kumtibia apate kupona.Ndugu wanabodi,
Kichwa cha habari chahusika.
Nina binti yangu ana miaka kumi sasa lakini anajikojolea sana usiku akilala.
Sometimes huwa namchapa sana viboko ili aache lakini haijasaidia, sasa nimemuacha natafakari njia za kumsaidia zaidi. Adhabu yake huwa ni kumlazimisha afue mashuka na nguo zote anazozikojolea.
Nimeona niwashirikishe ndugu zangu labda kuna yeyote aliyefikwa na shida kama hii na akaitafutia ufumbuzi.
Wenu katika kazi. Nisiye na jina humu.
Ahsanteni.
Miaka 10 mingi, atakua ana tatizo. Hujawahi kusikia mwanamke kaachika kisa tabia ya kujikojolea au mwingine hataki kabisa kuolewa kwa sababu ya aibu hiiWala usimchape! Kwa mujibu wa wataalamu hiyo hsli itaisha yenyewe. Cha msingi aepuke kunywa maji au vitu vya majimaji kama soda kabla ya kulala usiku. Ni vigumu kuamini lakini ndiyo itakavyotokea!
Sent using Jamii Forums mobile app