msaada blackberry carve 8520

Dedii

Member
Joined
Aug 16, 2010
Posts
76
Reaction score
7
wadau habarini? naomba msaada wa hapa nilipo nauziwa black berry cave 8520 but nahisi kama vile inamatatizo maana najaribu kuitafuta kwa bluetooth katika simu yangu ya nokia siipati but blackberry inaiona hiyo nokia naomba msaada wa haraka jamani kama ni setting au ni ina matatizo
 
Kaka me mwenyewe natumia hiyo hiyo ila utafuataji wa bluetho ni tofauti na simu zingine ntakuelezea mkuu!
 
Nenda Kwenye menu, Tafuta kitufe cha options au setting, click hapo utakutana na about,advanced options, auto on/off, auto text bluetooth........., click hapo kwenye bluetooth then click kitufe cha menu utaona enable bluetooth then anza kutuma hizo data zako, kama haiwezekani click menu baada chini ya enable buetooth, utaona Device name, achana nayo angalia sehemu ya Discoverable kama ipo no,click hapo then scrol chini au juu utaona Yes. click menu then save nadhani hapo utaweza kutuma hivyo vitu. kitu mihimu ni kwamba kama unatuma kitu ni lazima device unayotaka kushare nayo uisave kwenye simu yako ndipo utaweza kutuma. Ukishindwa nambie nimkupe maelezo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…