Msaada,bleed wiki mbili mfululizo

kuna sister mmoja anaitwa Dr Biligita sijui kama yupo bado alikuwa ndanda mission ni mnzuri kwa hizi kesi ili mradi useme ukweli nini alifanya vinginevyo madaktari wasipokuwa makini anaweza akatolewa kizazi
Ndanda wapi hiyo?
 
Ni kweli tumwachie Mungu aamue ila kibinadamu hukumu tunayompa tuko sahihi
 
Nimeshampigia simu,anaenda
Asante kwa ushauri
 
Ni kweli tumwachie Mungu aamue ila kibinadamu hukumu tunayompa tuko sahihi
Hapana tukumbuke shetani ni roho na inaweza kumwingia yeyote
Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.
Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa. Mathayo7:1-2
luka “Usihukumu ili usije ukahukumiwa. 2Kwa maana jinsi unavyowahukumu wengine, ndivyo utakavyohukumiwa, na kwa kipimo kile upimiacho, ndicho utakachopimiwa. 6:1-2
 
KWANI wewe nani kwake hadi unajua all these details?

Mawazo ya kibiandamu:

1. Mjinga na anamchezea Mungu- Kweli Mungu wetu ni wa rehema ila hujatumia kinga kwenye ngono okay umepata ya kwanza umetoa umepona umerudia same problem umenasa umetoa , umepona. Bado unarudia mara ya tatu??? Kiukweli hana haja na maisha yake kama hajathamini ya kiumbe hicho.

2. Usikute vidonge hivyo kapewa tu pharmacy? sio na wataalamu; na mambo ya mitaani atakuja juta unaweza jiletea hata kansa au kuharibu kizazi .

3. Anahitaji ushauri nasaha kwa watu wazima yaani starehe ambayo unaweza kuzuia mimba bado kuna watu wanacheza na afya zao? anajua madhara ya overbleeding ? ndio chanzo kikubwa cha kifo kwa kina mama wenye mimba
 
Akipona na baadae akashika mimba, aende kanisani akatoe shukrani ya pekee
 
Kama hatua ya awali, mpatie vidonge vya kuongeza damu ili kumuepusha na anaemia, then arejeshwe hospitali
 
Mimi mtu wake wa karibu sana,mimba mbili alitoa kwamba alinasa akiwa na mtoto mchanga ,ila hii ya juzijuzi katoa kwasababu ya kutolea tafrani na mtu wake akimtuhumu kuwa anachepuka.
 
Kwa mawazo yangu na experience yangu, mimba kitoka yenyewe mara nyingi haina madhara makubwa ila ukiitoa kwa lazma lazima ilete shida sasa au baadae na inaumiza zaidi akilini kwa mtoa mimba. Bora azae mtoto amtoroke amuache hospitalini au sehemu yeyote lakini sio kutoa mimba
Arudi hospitali haraka na sio kupiga simu tuu kuuliza atumie dawa gani na kununua kwenye duka la dawa
 
Kweli TUSIHUKUMU na Tusamehe 7 X 70
 
Duu mbali sana
Afike hospitali haraka maana ishu ya damu na maumivu ukiongeza na kujilaumu/kujutia uamuzi alio chukua sio kitu rahisi anahutaji msaada wala haihitaji hata kumsikiliza anacho shauri hapo aende tuu hospitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…