Acha uongo huwenda alifanya kwa hasira kwakua ulimshurutisha, usianze kummbeza baba muhudumie tu hakuna namna. 😊Inauma sana,inauma mno [emoji26][emoji26][emoji26]
Alifanya kwa hasira Sasa hivi anajuta
HahahMmnhu yamekuwa hayo?
Hatimaye leo hii ushauri wenu umefanya kazi baada ya muhusika kukiona cha moto,Juzi alikataa kwenda hospital badala yake akampigia simu aliyemchoropoa akamchoma sindano ya kuzuia bleeding ,haikufanya kazi yoyote badala yake iliongeza speed na maumivu makali sana,Leo asubuhi kaenda hospital wamemcheki ultrasound na kuonekana ana masalia kibao ya uchafu uliooza,maana alikuwa anableed damu nyeusi,kasafishwa na kuandikiwa dawa amox metro na zinginezoKwa mawazo yangu na experience yangu, mimba kitoka yenyewe mara nyingi haina madhara makubwa ila ukiitoa kwa lazma lazima ilete shida sasa au baadae na inaumiza zaidi akilini kwa mtoa mimba. Bora azae mtoto amtoroke amuache hospitalini au sehemu yeyote lakini sio kutoa mimba
Arudi hospitali haraka na sio kupiga simu tuu kuuliza atumie dawa gani na kununua kwenye duka la dawa
Mwambie aache ufala! Kama hataki kuzaa kwanini anabeba mimba?? Yaani mimba 3 zote katoa!!!!..... Bora aendelee kuvuja damu tu mpaka afe ibilisi maluuni huyo!!Kwa mujibu wa maelezo yake hii ni mimba ya tatu, mbili zilizotangulia alikuwa anatoa kwa njia ya vyuma na alikuwa akibleed siku chache tu,hii ya Sasa inamtesa kwasababu alimeza vidonde
Nikimwambia aache ufala nitakuwa namremba sana,nimemtwanga maneno mazito mpaka hataki kunionaMwambie aache ufala! Kama hataki kuzaa kwanini anabeba mimba?? Yaani mimba 3 zote katoa!!!!..... Bora aendelee kuvuja damu tu mpaka afe ibilisi maluuni huyo!!
Kama hayupo tayari kuzaa akajiunge na nyota ya kijaniNikimwambia aache ufala nitakuwa namremba sana,nimemtwanga maneno mazito mpaka hataki kuniona