Naomba mnisaidieni kwa hili,vyuo vimefunguliwa na wengine washaripot na wanasema mpaka ulipe angalau nusu ya karo na fees nyingne,sasa mimi ntalipaje karo na cjajua kama bodi ya mikopo kama italipa karo yote?.na hao bodi wanatoa lini majina ? na tukienda huko chuo 2tatumia nn kama ha2jaona mikopo?. naomba msaada kwa anaeelewa